Amnesty yaitaka serikali ya Nigeria imuachilie huru Sheikh Zakzaky

IQNA-Shirika la kutetea haki za binadmau la Amanesty International limeitaka serikali ya Nigeria kumuachulia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh...
Habari Maalumu
Mahakama ya Ulaya yawalazimisha Wasichana Waislamu kuogelea pamoja na wavulana

Mahakama ya Ulaya yawalazimisha Wasichana Waislamu kuogelea pamoja na wavulana

IQNA: Mahakama ya Umoja wa Ulaya imetoa hukumu na kusema ni lazima wasichana Waislamu katika shule waogelee pamoja na wavulana.
14 Jan 2017, 15:25
Kikao cha nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Waislamu wa Rohingya

Kikao cha nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Waislamu wa Rohingya

IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha kikao cha nchi wanachama kujadili mauaji na mateso wanaofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.
12 Jan 2017, 17:47
Mazishi ya Ayatullah Hashemi Rafsanjani mjini Tehran

Mazishi ya Ayatullah Hashemi Rafsanjani mjini Tehran

IQNA-Mwili wa marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran umezikwa Jumanne katika haram...
11 Jan 2017, 00:22
Kiongozi Muadhamu aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

Kiongozi Muadhamu aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani.
09 Jan 2017, 11:59
Ayatullah Hashemi Rafsanjani ameaga dunia

Ayatullah Hashemi Rafsanjani ameaga dunia

IQNA-Ayatullah Ali Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuanisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu Iran ameaga dunia leo baada ya umri mrefu wa...
08 Jan 2017, 22:24
Maadui wa Iran ni Marekani, Uingereza, mabepari wa kimataifa na Wazayuni
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Maadui wa Iran ni Marekani, Uingereza, mabepari wa kimataifa na Wazayuni

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, "maadui asili wa Iran huru na iliyostawi," ni Marekani, Uingereza, mabepari wa kimataifa...
08 Jan 2017, 22:36
Iran haijapokea mwaliko wa Saudia kuhusu vikao vya Hija

Iran haijapokea mwaliko wa Saudia kuhusu vikao vya Hija

IQNA: Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai kuwa Iran imepokea mwaliko wa Saudia wa kushiriki katika vikao...
07 Jan 2017, 10:04
Mashindano ya Qur'ani nchini Japan

Mashindano ya Qur'ani nchini Japan

IQNA-Mashindano ya Qur'ani ya Waislamu wa Japan yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tokyo.
03 Jan 2017, 12:05
Serikali ya Nigeria yatakiwa imuachilie huru Sheikh Zakzaky

Serikali ya Nigeria yatakiwa imuachilie huru Sheikh Zakzaky

IQNA-Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameitaka serikali ya nchi hiyo kumuachilia huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
02 Jan 2017, 16:24
Qur'ani Tukufu yatarjumiwa kwa lugha ya Kiyao ya Malawi+PICHA

Qur'ani Tukufu yatarjumiwa kwa lugha ya Kiyao ya Malawi+PICHA

IQNA-Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao imezinduliwa ncchini Malawi siku ya Jumamosi.
01 Jan 2017, 11:59
Chuo Kikuu cha Sarajevo kufungwa wakati wa Sala ya Ijumaa

Chuo Kikuu cha Sarajevo kufungwa wakati wa Sala ya Ijumaa

IQNA-Chuo Kikuu cha Sarajevo nchini Bosnia Herzegovina kimetangaza kitakuwa kikufungwa adhuhuri wakati wa Sala ya Ijumaa ili Waislamu chuoni hapo wahudhurie...
31 Dec 2016, 18:35
Picha