Msikiti wa Hassan II, Morocco
Msikiti wa Hassan wa Pili uko katika mji wa Casablanca nchini Morocco na una mnara wenye urefu wa mita 210 na ni kati ya misikiti mikubwa zaidi duniani. Sehemu ya msikiti huo maridadi iko katika maji ya Bahari ya Atlantiki.