IQNA

Uharibifu uliosababishwa na zilzala nchini Indonesia

Tarehe 28 Septemba mwaka huu, Kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia kilikumbwa na zilzala au mtetemeko mkubwa wa ardhi ambao uliibua mawimbi ya baharaini maarufu kama Tsunani na kusababisha uharibifu mkubwa na watu zaidi ya 2000 kupoteza maisha.
Kishikizo: indonesia ، uliosababishwa