IQNA – Semina maalum kuhusu "Vipengele vya Miujiza ya Kisayansi katika Qur’an Tukufu Kuhusiana na Upepo" inatarajiwa kufanyika leo katika Msikiti mkuu wa Al-Azhar, nchini Misri.
2025 Jul 14 , 17:24
IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko kusini kabisa mwa Iraq katika mkoa wa Al-Faw, wakielekea mji mtakatifu wa Karbala.
2025 Jul 14 , 17:18
IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo mkubwa na hatimaye yakamfikisha katika Uislamu, ambapo alianzisha taasisi ya Mila For Africa Foundation, inayosaidia watoto wasiojiweza nchini Senegal.
2025 Jul 13 , 15:21
IQNA – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mamlaka za Bahrain zimeendelea kuweka vizuizi juu ya maombolezo ya Muharram, hasa katika siku ya Ashura, mwaka huu pia.
2025 Jul 13 , 15:08
IQNA – Maelfu ya watu wamekusanyika Srebrenica siku ya Alhamisi kuadhimisha miaka 30 tangu mauaji ya kimbari ya mwaka 1995, ambapo miili ya wahanga saba waliotambuliwa hivi karibuni imezikwa katika Makaburi ya Ukumbusho ya Potočari.
2025 Jul 12 , 22:24
IQNA – Kundi la watu wanaojiita viongozi wa Kiislamu na maimamu wa jamii za Waislamu barani Ulaya limekumbwa na ukosoaji mkali baada ya kufanya ziara katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu wiki hii, wakati ambapo utawala wa Kizayuni unaendelea na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.
2025 Jul 12 , 11:14
IQNA-Profesa mmoja kutoka Iran amesema kuwa Imam Ali bin Hussein Sajjad (Aleyhi Salaam), Imamu wa nne katika mlolongo wa Maimamu wa Ahlul Bayt (AS), alikuwa na jukumu muhimu sana katika kuhifadhi ujumbe wa Karbala na kupambana na propaganda za Bani Umayyah kupitia dua, khutuba, na mafundisho ya maadili.
2025 Jul 08 , 17:49
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Misri amesema kuwa lengo la mapinduzi ya Imam Hussein (Aleyhi Salaam) lilikuwa kufufua roho na kiini halisi cha dini, wakati ambapo maadili na thamani sahihi za Kiislamu zilikuwa zimepotea, na kilichobakia ni maumbo ya nje tu ya ibada na mila za dini.
2025 Jul 08 , 17:40
IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeitaka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia Capital kumwondoa mshirika wake Shaun Maguire, kufuatia chapisho la mitandao ya kijamii lililokosolewa vikali kwa kuendeleza chuki dhidi ya Waislamu.
2025 Jul 12 , 22:40
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa mataifa yote kuwaunga mkono mashujaa wa Yemen ambao wanapigania haki na kupinga dhulma.
2025 Jan 04 , 20:53
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha A-Azhar cha Misri kimebainisha matumaini kwamba mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa ushindi na amani kwa Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
2025 Jan 01 , 21:50
IQNA - Vikosi vya utawala ghasibu wa vimemvamia Sheikh Moataz Abu Sneineh, mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahim, katika kizuizi cha kijeshi huko al-Khalil (Hebron), na kumuacha akiwa amejeruhiwa na kumnyima msaada wa matibabu
2025 Jan 01 , 21:22