Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki.
2015 Oct 25 , 14:31
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza juu ya udharura wa kuendelezwa mapambano dhidi ya njama za Marekani, utawala ghasibu wa Israel na matakfiri katika Mashariki ya Kati.
2015 Oct 25 , 14:26
Wananchi wengi wa Kaduna nchini Nigeria wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika maombolezo ya mashahidi wa Karbala.
2015 Oct 23 , 17:22
Idara ya waqfu iliyo chini ya Wizara ya Waqfu nchini Misri, imeamuru kufungwa msikiti wa Imamul-Hussein (as) mjini Cairo kuanzia jana Alkhamis hadi baada ya kesho Jumamosi ikiwa ni katika kuwazuia Waislamu wa Kishia kutekeleza marasimu za Taasua na Ashura.
2015 Oct 23 , 16:19
Tuko katika mwezi wa Muharram ambao unahuisha na kurejesha akilini kumbukumbu ya mapambano adhimu na yenye adhama. Muharram ni mwezi uliofungamana na jina la Hussein Ibn Ali (AS) na harakati isiyo na mbadala ya mtukufu huyo katika ardhi ya Karbala.
2015 Oct 22 , 12:43
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuhusu kulindwa maslahi ya taifa la Iran katika utekelezwaji mapatano ya nyuklia kati ya Iran na madola sita makubwa duniani.
2015 Oct 21 , 23:18
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekosoa uchokozi wa wazi wa utawala haramu wa Israel katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu hasa katika msikiti wa al Aqsa ulio katika mji Quds au Jerusalem.
2015 Oct 21 , 23:08
Kufichuka nyaraka mpya Saudia
Kumefichuka nyaraka mpya kutoka Wizara ya Afya ya Saudi Arabia kuwa zaidi ya mahujaji 7,000 walipoteza maisha katika maafa ya Mina.
2015 Oct 21 , 14:09
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa sera za uharibifu za utawala wa Aal Saud na kusema kuwa hatua ya utawala huo ya kuishambulia nchi jirani yake ni ya kichokozi na yenye kudhihirisha uistikbari wa utawala huo.
2015 Oct 20 , 15:27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya cha serikali za Magharibi na taasisi zinazodai kutetea haki za binadamu kuhusu maafa ya machungu ya Mina.
2015 Oct 19 , 20:41
Jeshi la Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 46 tangu kuanza Intifadha au mwamko mpya mapema mwezi huu wa Oktoba.
2015 Oct 19 , 20:37
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah amewapongeza wanaharakati wanaopigania ukombozi wa Palestina kwa kujitolea muhanga na kusimama kidete katika Intifadha ya 3 inayoendelea hivi sasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds Tukufu.
2015 Oct 18 , 21:20
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) limelaani vikali hujuma ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika majlisi ya maombolezo ya siku 10 za Muharram nchini Saudi Arabia.
2015 Oct 18 , 18:56