IQNA

Nidhamu ya kijamii katika Uislamu

Nidhamu ya kijamii katika Uislamu

IQNA – Kile Uislamu unasema kuhusu nidamu ya kijamii ni mbali zaidi ya kile ambacho wengine wanasema. Kwa mujibu wa Uislamu, nidhamu ya kijamii uinapaswa kuwa kiasi kwamba haina madhara kwa uhuru wa mtu binafsi na uadilifu wa kijamii.
23:23 , 2024 May 13
Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija wawasili Madina

Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija wawasili Madina

IQNA - Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
23:20 , 2024 May 13
Saudia ina mpango wa mafunzo ya kuboresha huduma kwa Mahujaji

Saudia ina mpango wa mafunzo ya kuboresha huduma kwa Mahujaji

IQNA - Mpango umezinduliwa nchini Saudi Arabia ili kuimarisha na kuboresha ujuzi wa wafanyakazi wanaohudumia waumini wanaoshiriki ibada za Hija  na Umrah.
22:57 , 2024 May 13
Mashindano ya Qur’ani ya vijana yazinduliwa Cape Town

Mashindano ya Qur’ani ya vijana yazinduliwa Cape Town

IQNA – Cape Town nchini Afrika Kusini inaandaa mashindano ya tano ya Qur’ani kwa vijana.
22:30 , 2024 May 13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu atembelea Maonyesho ya Vitabu ya Tehran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu atembelea Maonyesho ya Vitabu ya Tehran

IQNA: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran na kuweza kufahamu kwa karibu kuhusu sekta ya uchapishaji nchini.
14:11 , 2024 May 13
Siku ya 3 ya Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran (TIBF) - PICHA

Siku ya 3 ya Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran (TIBF) - PICHA

IQNA – Makumi ya maelfu ya watu walitembelea Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran siku ya Ijumaa, Mei 10, ambayo yaliadhimisha siku ya tatu ya tukio hilo kuu.
23:23 , 2024 May 12
Umuhimu wa Unadhifu Kwa mujibu wa Uislamu

Umuhimu wa Unadhifu Kwa mujibu wa Uislamu

IQNA – Katika Uislamu, hasa katika Sira ya Mtukufu Mtume (SAW), kuna msisitizo mkubwa juu ya unadhifu na usafi dhahiri wa sura.
23:13 , 2024 May 12
Yemen, mgeni maalumu katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran

Yemen, mgeni maalumu katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran

IQNA - Yemen inashiriki katika Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran kama mgeni rasmi kwa lengo la kuimarisha utamaduni wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.
22:55 , 2024 May 12
Wakati Wakristo waliposhurutisha kurejeshwa qiraa ya Sheikh Rif’at katika Redio ya Qur’ani

Wakati Wakristo waliposhurutisha kurejeshwa qiraa ya Sheikh Rif’at katika Redio ya Qur’ani

IQNA - Wiki hii iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Sheikh Muhammad Rif'at, mmoja wa maqari wakubwa wa  Qur’ani Tukufu katika zama zote nchini Misri.
22:35 , 2024 May 12
Sisitizo kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika kufichua jinai za Israel

Sisitizo kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika kufichua jinai za Israel

IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Muqawama (Mapambano) na Vyombo vya Habari vya Wapalestina" limefanyika katika Taasisi ya Ittila'at mjini Tehran ambapo wazungumzaji walisisitiza nafasi ya vyombo vya habari katika kuangazia jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
22:13 , 2024 May 12
Nasaha za  Naibu Mufti wa Oman kuhusu ulazima wa tarjuma za Qur'ani Tukufu

Nasaha za  Naibu Mufti wa Oman kuhusu ulazima wa tarjuma za Qur'ani Tukufu  

IQNA – Kazi ya tarjuma na tafsiri ya Qur'ani Tukufu ni ngumu lakini ya lazima na yenye thamani, msaidizi wa Mufti Mkuu wa Oman alisema.
11:35 , 2024 May 12
Teksi za kuruka, ndege zisizo na rubani kutumika kwa majaribi katika Hija

Teksi za kuruka, ndege zisizo na rubani kutumika kwa majaribi katika Hija

IQNA- Matumizi ya teksi zinazoruka na ndege zisizo na rubani kwa ajili ya kuwasafirisha Mahujaji yatafanyiwa majaribio katika msimu wa Hija wa mwaka huu.
10:52 , 2024 May 12
Baraza Kuu la UN lapitisha azimio kuhusu uwanachama wa Palestina

Baraza Kuu la UN lapitisha azimio kuhusu uwanachama wa Palestina

IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa -UNGA limepitisha azimio la kuongezea taifa la Palestina haki ndani ya Baraza hilo, sawa na nchi nyingine 193 wanachama. Pamoja na hayo Palestina bado haitakuwa na haki ya kupiga kura ndani ya chombo hicho cha ngazi ya juu cha maamuzi cha Umoja wa Mataifa.
07:58 , 2024 May 11
Balozi wa Afrika Kusini: Zama za Israel kutekeleza mauaji ya kimbari bila kuwajibishwa zimekwisha

Balozi wa Afrika Kusini: Zama za Israel kutekeleza mauaji ya kimbari bila kuwajibishwa zimekwisha

IQNA - Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema zile siku za utawala wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina bila kuadhibiwa zimefika ukingoni.
20:46 , 2024 May 10
Chuo Kikuu Brussels chasitisha ushirikiano na Israel kutokana na jinai za Gaza

Chuo Kikuu Brussels chasitisha ushirikiano na Israel kutokana na jinai za Gaza

IQNA - Chuo kikuu kimoja nchini Ubelgiji kimesema kitasitisha ushirikiano wake na taasisi mbili za Israel.
19:26 , 2024 May 10
1