iqna

IQNA

basketiboli
TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Mpira wa Kikapu ( basketiboli ) Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake Waislamu wenye Hijabu kushiriki katika michezo ya kimataifa ya basketiboli ).
Habari ID: 3470970    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/06