iqna

IQNA

bangui
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu 6,000 wameuawa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati tokea mwaka 2013 lakini jamii ya kimataifa imenyamazia kimya jinai hiyo na kuonyesha kutojali.
Habari ID: 3471103    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/04

Kundi lenye misimamo mikali ya Kikristo la Anti Balaka sasa limeanza kutumia mbinu mpya kwa ajili ya kuua Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa kuwauzia vyakula vyenye sumu. Hadi sasa makumi ya watoto wadogo wameripotiwa kufariki dunia katika mji wa Buda kutokana na mbinu hiyo ya mauaji.
Habari ID: 1392667    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/09

Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema karibu Waislamu wote waliokuwa wakiishi mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui, wamelazimika kuondoka mjini humo kutokana na jinai za magaidi wa Kiksristo.
Habari ID: 1384500    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/09

Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeonya kuwa kuna operesheni za kufukuza jamii ya Waislamu kwa kuwaua kwa umati katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, suala ambalo askari wa kulinda amani wa kimataifa wameshindwa kulizuia.
Habari ID: 1374699    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/13