iqna

IQNA

futari
Ukanda wa Gaza
IQNA – Mjumuiko mkubwa wa futari umefanyika katika mji wa Rafah, kusini mwa Gaza, licha ya kuendelea mashambulizi ya utawala haramu Israel dhidi ya mji huo.
Habari ID: 3478586    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26

Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Zaidi ya milo ya Iftar ( futari ) milioni 8.5 itagawiwa kwa waumini katika Msikiti wa Mtume SAW, Al Masjid An Nabawi huko Madina wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478338    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11

Waislamu katika Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Ethiopia limefanya hafla kubwa zaidi ya Iftar au Futari katika uwanja wa Al-Thaura mjini Addis Ababa, mji mkuu wa nchi hiyo, wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476844    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/10

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Mamia walikusanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa kifahari wa Royal Albert Hall huko London kama sehemu ya futari ya wazi - tukio la kijamii wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476841    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/09

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Klabu ya Soka ya Chelsea ya Ligu Kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kuwa uwanja wake, Stamford Bridge, utakuwa mwenyeji dhifa yake ya kwanza ya wazi ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476705    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia katika kijiji cha Umm al Himam katika eneo la Qatifa nchini Saudia Arabia Jumatatu walishiriki katika dhifa ya futari ya umma kwa mara ya kwanza tokea lianze janga la corona.
Habari ID: 3475172    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/26

TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya milo milioni 3 ya futari ilitolewa kwenye Msikiti Mkuu wa Makka katika siku 20 za mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1423 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3475164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24

TEHRAN (IQNA)- Wakaazi wa eneo moja Cape Town, Afrika Kusini, wamepewa zawadi dhifa ya futari kwa mara ya kwanza huku Waislamu duniani kote wakiwa katika mwezi mtakatifu wa Ramadan.
Habari ID: 3475117    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuidhinisha tena hema za futari wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya hema hizo kufungwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3475047    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15

TEHRAN (IQNA)- Mijumuiko mkiubwa ya futari itaruhusiwa tena katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram katika mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuzuiwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3475045    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15

TEHRAN–(IQNA) -  Ligi Kuu ya Soko Uingereza(England)-EPL-, imewaruhusu wachezaji Waislamu kufungua suamu ya Mwezi Mtukufu waRamadhani kati kati ya mechi.
Habari ID: 3473862    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Misri na baadhi ya maeneo ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na wametangaza kuwa mijumuiko ya umma ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni marufuku ili kuzuia kuenea virusi vya Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473716    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA) – Tokea mwaka 1975, Wakristo nchini Misri wamekuwa wakiwatayarishia Waislamu futari katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472769    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15

TEHRAN (IQNA) - Jumatano iliyopita , Rais Donald Trump wa Marekani aliandaa katika Ikulu ya White House kile alichodai kuwa ni dhifa ya futari kwa ajili ya Waislamu, lakini la kushangaza ni kuwa Waislamu wa Marekani hawakualikwa.
Habari ID: 3471549    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/09