Habari Maalumu
IQNA – Jumamosi, tarehe 26 Julai 2025, ulimwengu wa Kiislamu uliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Sheikh Muhammad Abdul Wahhab Al-Tantawi, gwiji wa usomaji...
27 Jul 2025, 15:40
IQNA – Hatua ya mkoa ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran ilianza asubuhi ya Ijumaa, Julai 25, 2025, chini ya usimamizi wa Idara...
27 Jul 2025, 15:18
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yameshindwa kutimiza malengo waliyojiwekea,...
26 Jul 2025, 17:46
IQNA-Kiongozi mkuu Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani, ameelezea masikitiko yake makubwa kuhusu hali ya kibinadamu...
26 Jul 2025, 17:37
IQNA – Chuo cha Kisayansi cha Qur’ani kinachohudumu chini ya Utawala wa Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kimeandaa mfululizo wa vikao vya Qur’ani Tukufu katika...
26 Jul 2025, 17:34
IQNA – Mwanamke mkongwe kutoka Aswan, Misri, aliyekuwa hajui kusoma wala kuandika kwa muda mrefu, hatimaye ameweza kutimiza ndoto yake ya kusoma Qur’ani...
26 Jul 2025, 17:30
IQNA – Kwa lengo la kueneza mafundisho ya Uislamu, maafisa wa serikali ya Morocco wamegawa nakala za Qur’ani Tukufu kwa Wamorocco wanaoishi nje ya nchi...
26 Jul 2025, 17:21
IQNA – Mamlaka za Misri zimezindua mradi wa majaribio wa kutumia maeneo ya misikiti kwa elimu ya awali ya watoto chini ya makubaliano mapya ya ushirikiano...
25 Jul 2025, 14:02
IQNA – Wanafunzi thelathini wa Qatar wameshiriki katika kozi ya majira ya joto ya wiki tatu iliyoandaliwa na Kituo cha Elimu ya Qur'ani cha Al Noor kwa...
25 Jul 2025, 14:10
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) iliyopo Najaf, Iraq, imetangaza kuwa inaendelea na maandalizi makubwa kwa ajili ya kuwapokea Wafanyaziyara wengi wanaotarajiwa...
25 Jul 2025, 13:55
IQNA – Shughuli za Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran mwaka huu nchini Iraq zinatarajiwa kuanza tarehe 5 Agosti, kwa mujibu wa afisa mmoja.
25 Jul 2025, 13:45
IQNA-Mmoja wa viongozi wa ngazi za juu kidini nchini Iran amemwandikia barua Papa Leo XIV akisema: "Mienendo ya kikatili na isiyo ya kibinadamu ya utawala...
25 Jul 2025, 11:04
IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu kutoka Iran amewataka viongozi wa Kiislamu na Kiongozi wa Kanisa Katoliki kushikamana dhidi ya mzingiro...
24 Jul 2025, 10:02
IQNA – Mtaalamu mkongwe wa Qur’ani, Gholam Reza Shahmiveh, amezungumzia umuhimu wa uadilifu na kuwepo kwa Iran katika jopo la majaji wa Mashindano ya Kimataifa...
23 Jul 2025, 21:31
IQNA – Sheikh Ahmed al-Tayeb, Imamu Mkuu wa Al-Azhar, ametoaito wa dharura kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati mara moja kuokoa watu wa Gaza dhidi ya...
23 Jul 2025, 21:21
IQNA – Toleo la 28 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai limevutia maombi 5,618 kutoka nchi 105, ikiwa ni idadi ya juu zaidi hadi sasa, ambapo...
23 Jul 2025, 21:07