IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 15 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Ahmad Abolghasemi, Aliakbar Malekshahi, Mojtaba Parvizi, na Wahid Barati. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.