IQNA

Mazungumzo ya Kidini

Papa Francis Apokea Kibao Maalum kilichoandikwa “Kama Yesu Kristo angekuwa miongoni mwetu”

IQNA - Kibao chenye nukuu kutoka hotuba za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu Nabii Isa Masih (Amani ya Iwe Juu Yake) ambaye ni maarufu  kama Yesu miongoni mwa Wakristo, kimewasilishwa kwa Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Mufti wa Oman atoa wito wa kuwaunga mkono Mashujaa wa Yemen
IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa mataifa yote kuwaunga mkono mashujaa wa Yemen ambao wanapigania haki na kupinga dhulma.
2025 Jan 04 , 20:53
Al-Azhar yatumai 2025 utakuwa mwaka wa ushindi, amani kwa watu wa Gaza
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha A-Azhar cha Misri kimebainisha matumaini kwamba mwaka wa 2025 utakuwa mwaka wa ushindi na amani kwa Wapalestina wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
2025 Jan 01 , 21:50
Mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahim ahujumiwa, vikosi vya Israel vamnyima msaada wa matibabu
IQNA - Vikosi vya utawala ghasibu wa vimemvamia Sheikh Moataz Abu Sneineh, mkurugenzi wa Msikiti wa Ibrahim, katika kizuizi cha kijeshi huko al-Khalil (Hebron), na kumuacha akiwa amejeruhiwa na kumnyima msaada wa matibabu
2025 Jan 01 , 21:22
Rais Pezeshkian: Iran imechukua hatua kueneza amani baina ya nchi zote za Kiislamu
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian ameeleza kuwa mtazamo na hatua za kivitendo za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni za kueneza amani na kudumisha usalama katika ukanda huu na baina ya nchi zote za Kiislamu; na ametaka kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi kati ya Iran na Oman katika uwanja huo.
2024 Dec 30 , 23:25
Waislamu Milioni 3 wamesali ndani ya Rawdah katika kipindi cha miezi mitatu
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa takwimu, zaidi ya Waislamu milioni tatu wameswali katika Rawdah Tukufu kwenye Msikiti wa Mtume (SAW), Al-Masjid an-Nabawi , mjini Madina katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
2022 Nov 10 , 12:53
Iran na Uturuki zijiandae kuimarisha uhusiano wa pande zote
Rais Raisi wa Iran katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
2021 Nov 15 , 19:53
Iran itaendelea kuunga mkono kikamilifu mapambano ya taifa la Palestina
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo imetoa taarifa rasmi ya kulipongeza taifa la Palesstina hasa wakazi mashujaa na wenye subira wa Ukanda wa Ghaza kwa kusimama imara mbele ya mashambulio ya kinyama ya Israel.
2021 May 22 , 21:12
Netanyahu na mkuu wa Mossad walitembelea Saudia kwa siri
Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani.
2020 Nov 23 , 20:22
Kongamano la Misri lajadili suala la utoaji wa fatuwa
TEHRAN (IQNA)-Kongamano moja la kimataifa limefanyika Cairo, Misri kwa lengo la kujadili kadhia ya utoaji wa fatuwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
2018 Oct 18 , 20:03
Mashindano ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yamalizika Tehran
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya walemavu wa macho yamemalizika Jumapili mjini Tehran kwa kuteuliwa wawakilishi wa Iran katika Awamu ya Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho.
2018 Nov 06 , 16:13
Qarii wa Iran apata zawadi ya kwanza  katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Malaysia
KUALA LUMPUR (IQNA)-Mashindano ya 59 ya Kimataifa ya Qur'ani yamemalizika Jumamosi katika sherehe iliyofanyika mjini Kuala Lumpur
2017 May 21 , 15:26
Nchi za Kiislamu zishirikiane katika vita dhidi ya ugaidi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ili kupambana na hatari ya ugaidi na muamala wa kindumakuwili wa madola makubwa, kuna haja kwa nchi za Kiislamu kuongeza ushirikiano wao katika fremu ya siasa za kutimia akili na za kimantiki.
2016 Apr 11 , 23:07