IQNA

Dar al-Ifta ya Misri yasisitiza Maadhimisho Makubwa ya Maulid ya Mtume Muhammad (SAW)

Dar al-Ifta ya Misri yasisitiza Maadhimisho Makubwa ya Maulid ya Mtume Muhammad (SAW)

IQNA – Taasisi ya Dar al-Ifta (Idara ya Fatwa) ya nchini Misri imesisitiza kuwa sherehe za maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW), maarufu kama Maulidi, ni utamaduni uliokita mizizi nchini humo.
15:56 , 2026 Aug 23
Maonesho ya Urithi wa Kiislamu yafunguliwa Russia wakati wa Maulid

Maonesho ya Urithi wa Kiislamu yafunguliwa Russia wakati wa Maulid

IQNA – Maonesho yenye kichwa “Urithi wa Kiislamu wa Russia: Watu na Mila” yalifunguliwa katika hafla iliyofanyika Moscow jioni ya Jumamosi.
15:40 , 2026 Aug 23
Aliyevunjia heshima Qur’ani Tukufu nchini Marekani akamatwa Minneapolis

Aliyevunjia heshima Qur’ani Tukufu nchini Marekani akamatwa Minneapolis

IQNA – Mwanaharakati wa mrengo mkali wa kulia nchini Marekani, ambaye amekuwa akifanya vitendo vya kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu mara kadhaa, amekamatwa jijini Minneapolis.
15:32 , 2026 Aug 23
Magaidi wateka waumini Msikitini Nmchini Nigeria

Magaidi wateka waumini Msikitini Nmchini Nigeria

IQNA – Watu kadhaa wametekwa nyara kutoka katika msikiti mmoja ulioko Jimbo la Niger, eneo la kaskazini-kati mwa Nigeria, na kundi la magaidi, kwa mujibu wa taarifa za wakazi na polisi.
15:28 , 2026 Aug 23
Programu za kuhifadhi Qur’ani kwa wanafunzi zahitimishwa nchini Jordan

Programu za kuhifadhi Qur’ani kwa wanafunzi zahitimishwa nchini Jordan

IQNA – Programu za bure za kuhifadhi, kusoma, na kusahihisha usomaji wa Qur’ani (Tajweed) kwa wanafunzi wa shule nchini Jordan zimefikia tamati katika hafla maalum iliyofanyika siku ya Alhamisi.
17:17 , 2026 Aug 22
Washindi wa Mashindano ya Qur’ani ya Makka Watunukiwa

Washindi wa Mashindano ya Qur’ani ya Makka Watunukiwa

IQNA – Washindi wa toleo la 46 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na kufasiri Qur’ani Tukufu wametunukiwa katika hafla iliyofanyika ndani ya Msikiti Mtukufu (Masjid al-Haram) huko Makka.
17:15 , 2026 Aug 22
Hotuba za Swala ya Ijumaa nchini Singapore kufupishwa

Hotuba za Swala ya Ijumaa nchini Singapore kufupishwa

IQNA – Kutokana na changamoto za hali ya hewa nchini Singapore, vipindi vya hotuba za Swala ya Ijumaa vitafupishwa kwa muda kuanzia wiki hii.
17:13 , 2026 Aug 22
 Hamas: Hatua za Utawala wa Kizayuni hazitafuta utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa

 Hamas: Hatua za Utawala wa Kizayuni hazitafuta utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa

IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina,  Hamas, imesisitiza kuwa hatua mpya zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa hazitafuta wala kubadili utambulisho wa Kiislamu wa eneo hilo takatifu lililoko Al-Quds (Jerusalem).
17:10 , 2026 Aug 22
Aliyevunjia heshima Uislamu nchiniMalaysia afungwa jela nchini

Aliyevunjia heshima Uislamu nchiniMalaysia afungwa jela nchini

IQNA – Mahakama moja katika jimbo la Johor, Malaysia, imemhukumu mwanamume kifungo cha jela kwa kuidhalilisha na kuivunjia heshima dini ya Kiislamu
17:07 , 2026 Aug 22
Rekodi  mpya ya Waislamu waliopata nyadhifa za uongozi nchini Marekani mwaka 2026

Rekodi mpya ya Waislamu waliopata nyadhifa za uongozi nchini Marekani mwaka 2026

IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetangaza kuwa Waislamu 255 wamechaguliwa kushika nyadhifa mbalimbali za umma katika majimbo 26 ya Marekani mwaka 2026, idadi kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa. Viongozi hao wanahudumu katika karibu kila ngazi ya serikali, wakiwemo wajumbe wa Kongresi, maseneta na wawakilishi wa majimbo, majaji, meya, wajumbe wa mabaraza ya miji, bodi za shule na nafasi nyingine za mitaa.
15:22 , 2026 Aug 21
Qari wa Misri afaulu katika taaluma ya tiba na usomaji wa Qur’ani

Qari wa Misri afaulu katika taaluma ya tiba na usomaji wa Qur’ani

IQNA – Salah al-Jamal ni daktari kutoka Misri ambaye amepata mafanikio makubwa katika nyanja za kuhifadhi na kusoma Qur’ani Tukufu.
15:04 , 2026 Aug 21
Misikiti elfu kadhaa yajengwa na kukarabatiwa nchini Misri tangu 2014

Misikiti elfu kadhaa yajengwa na kukarabatiwa nchini Misri tangu 2014

IQNA – Msemaji wa Wizara ya Wakfu nchini Misri ametangaza ujenzi au ukarabati wa misikiti takriban 15,000 nchini humo tangu mwaka 2014.
14:56 , 2026 Aug 21
Msichana wa Guatemala awa mshiriki mdogo azidi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Makkah

Msichana wa Guatemala awa mshiriki mdogo azidi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Makkah

IQNA – Razan Muhammad Mutawali, msichana wa miaka mitano kutoka Guatemala, ameshiriki katika Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Saudi Arabia.
14:49 , 2026 Aug 21
Rekodi yavunjwa  ya waliojisajili Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai

Rekodi yavunjwa ya waliojisajili Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai

IQNA – Jumla ya maombi 20,500 kutoka nchi 135 yamewasilishwa kwa ajili ya toleo la 29 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA).
19:08 , 2026 Aug 20
Kiongozi wa Kikristo Nigeria ampongeza mwanazuoni wa Kiislamu kwa huduma ya miaka 50

Kiongozi wa Kikristo Nigeria ampongeza mwanazuoni wa Kiislamu kwa huduma ya miaka 50

IQNA – Kiongozi wa Kikristo katika Jimbo la Kaduna nchini Nigeria amemuenzo mwanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Usman Mohammed Mai-Mota (Gwalli), kwa kutambua mchango wake wa zaidi ya nusu karne katika kutoa elimu ya Kiislamu na kuwafundisha maelfu ya vijana, katika juhudi za kuimarisha kuishi kwa amani na mshikamano kati ya Wakristo na Waislamu.
18:56 , 2026 Aug 20
1 2 3 4 5