IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 30 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Masoud Nouri, Seyyed Hossein Mousavi Baladeh, Mohammadreza Purzargari, na Mahdi Gholamnejad.. Tunakushukuru kwa kujiunga na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani katika safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ambapo tumeweza kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
11:51 , 2025 Apr 01