IQNA

Mwizi msikitini nchini Uingereza akamatwa

Mwizi msikitini nchini Uingereza akamatwa

IQNA – Mwanaume mmoja kutoka mji wa Widnes, Uingereza, amekamatwa na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na tukio la wizi katika msikiti wa Warrington.
20:21 , 2025 Apr 11
Maktaba ya Riyadh yatunza nakala adimu za Misahafu

Maktaba ya Riyadh yatunza nakala adimu za Misahafu

IQNA-Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz (KAPL) mjini Riyadh, Saudi Arabia, inahifadhi nakala 400 adimu za MIsahafu kutoka zama mbalimbali za Kiislamu ambapo  nyingi ni za kati ya karne ya 10 hadi 13 Hijria.
20:18 , 2025 Apr 11
Maandiko ya Kiislamu: Njia ya Kuelewa Sanaa za Kale

Maandiko ya Kiislamu: Njia ya Kuelewa Sanaa za Kale

IQNA-Miswada au maandiko ya kale ni hazina muhimu ya urithi wa binadamu. Majumba ya makumbusho, vyuo vikuu na vituo vya utafiti ni sehemu ambazo zimejaa maelfu ya maandiko ambayo yanasaidia kuelewa historia, sayansi, lugha, na sanaa mbalimbali hasa katika ustaarabu wa Kiislamu.
19:22 , 2025 Apr 11
Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikuu rasmi katika jimbo la Washington, Marekani

Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikuu rasmi katika jimbo la Washington, Marekani

IQNA- Sheria mpya imetangaza Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi katika jimbo la Washington nchini Marekani.
19:16 , 2025 Apr 11
Microsoft yalaaniwa kwa kumfuta kazi mhandisi aliyepinga mauaji ya kimbari Gaza

Microsoft yalaaniwa kwa kumfuta kazi mhandisi aliyepinga mauaji ya kimbari Gaza

IQNA-Shirika moja la kimataifa limelaani hatua ya kampuni ya Microsoft ya Marekani kumfuta kazi mhandisi wa programu mwenye asili ya Morocco, Ibtihal Aboussad, ambaye aliandamana hadharani kupinga uungwaji mkono wa kampuni hiyo kwa utawala katili wa Israel wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Microsoft.
09:04 , 2025 Apr 10
Wairani 192,000 wameshiriki ibada ya Umrah katika duru ya awali

Wairani 192,000 wameshiriki ibada ya Umrah katika duru ya awali

IQNA – Awamu ya kwanza ya safari ya Umrah kwa Mahujaji kutoka Iran kwa mwaka huu imehitimishwa rasmi, ambapo takriban Wairani 192,000 wametekeleza ibada hiyo tukufu ya Hijja Ndogo nchini Saudi Arabia.
17:56 , 2025 Apr 09
Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kimeimarisha mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu

Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kimeimarisha mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu

IQNA – Mmoja wa watangazaji wa kipindi cha “Mahfel,” kinachorushwa hewani katika televisheni nchini Iran katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, ameeleza mafanikio ya kipindi hicho, ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa mapenzi ya watu kwa Qur’ani Tukufu.
17:46 , 2025 Apr 09
Indonesia tayari kuwapokea Wapalestina waliojeruhiwa na mayatima wa Gaza

Indonesia tayari kuwapokea Wapalestina waliojeruhiwa na mayatima wa Gaza

IQNA – Indonesia iko tayari kutoa hifadhi ya muda kwa watoto na Wapalestina waliojeruhiwa kutokana na vita vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, amesema Rais Prabowo Subianto.
17:31 , 2025 Apr 09
Mwanazuoni Mkongwe wa Qur'ani Iran, Abdolrasoul Abaei, afariki akiwa na umri wa miaka 80

Mwanazuoni Mkongwe wa Qur'ani Iran, Abdolrasoul Abaei, afariki akiwa na umri wa miaka 80

IQNA – Abdolrasoul Abaei, mmoja wa shakhsia mashuhuri na wanaoheshimika sana katika nyanja za Qur'ani Tukufu nchini Iran, ameaga dunia tarehe 9 Aprili 2025 akiwa na umri wa miaka 80, baada ya maisha marefu ya kujitolea kwa ajili ya huduma na uendelezaji wa Qur’ani Tukufu.
17:23 , 2025 Apr 09
Masharti ya Tawakkul yanaathiri tabia ya mwanadamu

Masharti ya Tawakkul yanaathiri tabia ya mwanadamu

IQNA – Baadhi ya imani za kidini si tu kwamba zinakuwa masharti ya kiakili ya Tawakkul, bali pia huathiri mwenendo na tabia ya mwanadamu.
17:15 , 2025 Apr 09
Maandalizi ya Mashindano ya Qur’ani kwa wafanyakazi wa Iran

Maandalizi ya Mashindano ya Qur’ani kwa wafanyakazi wa Iran

IQNA – Usajili umeanza rasmi kwa toleo la nane la mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa wafanyakazi nchini Iran.
20:16 , 2025 Apr 08
Hamas yapongeza hatua ya Umoja wa Afrika kumtimua balozi wa utawala wa Israel

Hamas yapongeza hatua ya Umoja wa Afrika kumtimua balozi wa utawala wa Israel

IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina , Hamas, imelinganisha vitendo vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda, huku ikisifu hatua ya Umoja wa Afrika Afrika kumfukuza balozi wa utawala wa Israel kutoka mkutano maalum wa kumbukumbu uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia.
20:07 , 2025 Apr 08
Utawala wa Israel wafunga Msikiti wa Ibrahimi, mkurugenzi apigwa marufuku

Utawala wa Israel wafunga Msikiti wa Ibrahimi, mkurugenzi apigwa marufuku

IQNA – Mamlaka ya utawala wa Kizayuni iliweka kufuli katika milango ya Msikiti wa Ibrahimi ulioko katika mji wa Al-Khalil (Hebron), kusini mwa Ukingo wa Magharibi, siku ya Jumatatu.
20:04 , 2025 Apr 08
Unafiki wa nchi za Magharibi katika kutetea uchomaji wa Qur’ani

Unafiki wa nchi za Magharibi katika kutetea uchomaji wa Qur’ani

IQNA – Tendo la kutusi na kudhalilisha nakala za Qur’ani Tukufu katika mataifa ya Magharibi kwa kisingizio cha kulinda uhuru wa kujieleza limekuwa likirudiwa mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni.
19:20 , 2025 Apr 08
Wasomi wa Iran washiriki katika vipindi  vya Qur’ani Tukufu nchini Iraq Mwezi wa Ramadhani

Wasomi wa Iran washiriki katika vipindi  vya Qur’ani Tukufu nchini Iraq Mwezi wa Ramadhani

IQNA – Jumla ya vipindi 30 vya Qur’ani Tukufu viliandaliwa kwa ushiriki wa wasomi wa kiwango cha juu wa masuala ya Qur’ani kutoka Iran, katika majimbo mbalimbali ya Iraq wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka huu.
18:49 , 2025 Apr 08
5