IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 25 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mohammadreza Purzargari, Seyyed Hossein Mousavi Baladeh, Mojtaba Parvizi, na Habib Sedaqat..Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
05:39 , 2025 Mar 26