IQNA

Hatua za Mwisho za Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim yafanyika Doha

Hatua za Mwisho za Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim yafanyika Doha

IQNA-Hatua ya mwisho ya Mashindano ya Qur’an ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani, toleo la 30, inaendelea mjini Doha, Qatar ikihusisha mashindano ya wazi kwa wahifadhi kamili na sehemu.
13:44 , 2025 Nov 23
Klipu | Tilaawa ya Surah Al-Kawthar kwa Sauti ya Ustadh Ja‘far Fardi

Klipu | Tilaawa ya Surah Al-Kawthar kwa Sauti ya Ustadh Ja‘far Fardi

Tehran – Ustadh Ja‘far Fardi, qari mashuhuri wa kimataifa kutoka Iran, usiku wa Ijumaa tarehe 30 Jumada l-Ula , alisoma ya aya tukufu za Qur’ani katika usiku wa kwanza wa maombolezo ya Bibi Fatima Zahra (AS) ndani ya Husseiniyya ya Imam Khomeini (MA) jijini Tehran.
15:51 , 2025 Nov 22
Aya za Qur'ani na Hadithi zinasemaje kuhusu Istighfar

Aya za Qur'ani na Hadithi zinasemaje kuhusu Istighfar

IQNA-Katika aya za Qur’ani Tukufu na Hadith za Maimamu Maasumu (amani iwe juu yao), Istighfar , yaani kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu, imepewa msisitizo mkubwa na kutambulishwa kwa upekee.
15:41 , 2025 Nov 22
Japan yaandaa Mashindano ya 26 ya Qur’ani Tukufu

Japan yaandaa Mashindano ya 26 ya Qur’ani Tukufu

IQNA – Taasisi ya Kiislamu ya Japan (Japan Islamic Trust) imetangaza rasmi maelezo ya usajili pamoja na hatua za awali na za mwisho za Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Usomaji na Uhifadhi wa Qur’ani Tukufu.
15:34 , 2025 Nov 22
Ripoti yabaini ongezeko kubwa la hujuma dhidi ya Misikiti Uholanzi

Ripoti yabaini ongezeko kubwa la hujuma dhidi ya Misikiti Uholanzi

IQNA – Ripoti mpya imeonesha kuwa matukio ya vurugu na hujuma dhidi ya misikiti nchini Uholanzi yameongezeka kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha muongo uliopita, kwa mujibu wa utafiti wa mtandao wa misikiti K9.
15:30 , 2025 Nov 22
Mkutano wa 38 wa Waislamu Amerika ya Kusini na Karibiani Wafanyika Brazil

Mkutano wa 38 wa Waislamu Amerika ya Kusini na Karibiani Wafanyika Brazil

IQNA – Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika ya Kusini na Karibiani unafanyika nchini Brazil, ukikusanya viongozi wa Kiislamu kujadili mada ya vijana Waislamu katika enzi ya akili mnemba (AI).
15:25 , 2025 Nov 22
Mwanamume akamatwa akiingia Msikiti nchini Marekani akiwa na Bunduki

Mwanamume akamatwa akiingia Msikiti nchini Marekani akiwa na Bunduki

IQNA – Jeshi la Polisi wa Kaunti ya Richland limethibitisha kukamatwa kwa mwanamume aliyeingia msikiti mmoja wa South Carolina, Marekani, wakati wa sala huku akiwa na bunduki aina ya AR-15.
15:18 , 2025 Nov 22
Jinai za Israel  dhidi ya watoto wa Gaza yaangaziwa Siku ya Watoto Duniani

Jinai za Israel dhidi ya watoto wa Gaza yaangaziwa Siku ya Watoto Duniani

IQNA – Katika Siku ya Watoto Duniani, inayokumbusha kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto mnamo Novemba 20, 1989, watetezi wa Palestina na baadhi ya mashirika ya haki za binadamu wamelaani vikali utawala katili wa Israel kwa kuwalenga watoto wa Gaza kwa makusudi na kwa mfumo wa kikatili.
11:37 , 2025 Nov 21
Florida: Wanafunzi Waislamu wasumbuliwa wakati wa sala ya Alfajiri

Florida: Wanafunzi Waislamu wasumbuliwa wakati wa sala ya Alfajiri

IQNA – Wanafunzi Waislamu katika Chuo Kikuu cha Florida Kusini (USF) nchini Marekani wamesema wanaume watatu walivuruga mkusanyiko wao wa sala ya alfajiri na kuwatendea unyanyasaji.
11:25 , 2025 Nov 21
Kamati ya Katiba ya Ureno yatupilia mbali pendekezo la marufuku ya ufadhili wa misikiti

Kamati ya Katiba ya Ureno yatupilia mbali pendekezo la marufuku ya ufadhili wa misikiti

IQNA – Kamati ya Masuala ya Katiba ya Ureno imeamua kuwa pendekezo la kuzuia ufadhili wa umma kwa ujenzi wa misikiti halina msingi wa kikatiba.
11:15 , 2025 Nov 21
Baraza la Waislamu Ufaransa Lawakemea Watafiti kwa Kuchochea Chuki Dhidi ya Uislamu

Baraza la Waislamu Ufaransa Lawakemea Watafiti kwa Kuchochea Chuki Dhidi ya Uislamu

IQNA – Baraza la Imani ya Kiislamu Ufaransa (CFCM) limepinga vikali utafiti mpya wa taasisi ya Ifop, likisema utafiti huo unachochea unyanyapaa na kuendeleza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu (Islamophobia)
11:07 , 2025 Nov 21
Klipu | Mola wangu Mlezi amenikirimu!

Klipu | Mola wangu Mlezi amenikirimu!

IQNA- Katika dunia ya leo yenye pilika pilika nyingi na mwendo wa haraka, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mfululizo wa "Sauti ya Wahyi" kwa kuchagua baadhi ya aya kwenye Qur'ani Tukufu na sauti ya kupendeza ya Ustadh Behrouz Razawi, ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye kuinua roho. Mfululizo huu mfupi lakini wenye maudhui ya kina, unawaletea nyakati za utulivu na matumaini.
14:49 , 2025 Nov 20
Uzinduzi wa Maonesho ya Sanaa za Qur’an ya Dhuha Jijini Tehran

Uzinduzi wa Maonesho ya Sanaa za Qur’an ya Dhuha Jijini Tehran

IQNA – Hafla ya uzinduzi wa Maonesho ya Sanaa za Qur’an ya Duha, yaliyoandaliwa na Shirika la Qur’an la Wasomi wa Iran, ilifanyika jioni ya Jumapili, Novemba 16, 2025, katika Makumbusho ya Sanaa za Kidini ya Imam Ali (AS), mjini Tehran.
14:38 , 2025 Nov 20
Shiraz ni mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Kimataifa Kuhusu Sira ya Mtume (SAW) katika Tiba

Shiraz ni mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Kimataifa Kuhusu Sira ya Mtume (SAW) katika Tiba

IQNA – Mkutano wa 7 wa Kimataifa kuhusu Sira (Maisha na Mwenendo) wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) katika nyanja ya tiba umeanza siku ya Jumatano katika mji wa Shiraz, kusini mwa Iran.
14:34 , 2025 Nov 20
Mashindano ya  Qur’ani kwa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar yapongezwa

Mashindano ya Qur’ani kwa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar yapongezwa

IQNA – Jumuiya ya Kimataifa ya Wahitimu wa Al-Azhar imeandaa mashindano ya usomaji wa Qur’an ya “Sauti Njema” nchini Misri, tukio lililopokelewa kwa furaha na wanafunzi wa Al-Azhar kutoka mataifa mbalimbali.
14:22 , 2025 Nov 20
8