IQNA – Ibada za Laylat al-Qadr (Usiku wa Cheo au Usiku wa Hatima) zilitekelezwa Waislamu kote ulimwenguni Jumapili usiku, siku ya 23 ya Ramadhani (Machi 23, 2025). Picha zifuatazo zinaonyesha mijumuiko katika kaburi takatifu la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, na kaburi takatifu la Hadhrat Abdul Azim Hassani (AS) katika eneo la Rey, Iran.
11:32 , 2025 Mar 28