TEHRAN (IQNA)- Dua Tawwasul ni kati ya dua zenye fadhila ambazo zimenukuliwa katika kitabu cha Biharul Anwar cha Allamah Majlisi.
Waislamu wa madhehebu ya Shia huisoma dua hii katika misikiti, majumbani au kumbu za ibada. Mitandao ya kijamii ya Indoneisa imesambaza klipu ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa raia wa nchi hiyo akisoma dua hiyo.