TEHRAN (IQNA)- Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ametangaza kuanzishwa kanali ya YouTube ya kufunza Qur’ani Tukufu kwa wazungumzao lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3473921 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17