iqna

IQNA

Abu Akleh
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na sawa na Wapalestina wote, ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.
Habari ID: 3475745    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umesema uchunguzi umebaini kuwa , Shireen Abu Akleh , mwandishihabari Mpalestina wa televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475420    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

TEHRAN (IQNA)- Ushahidi wote unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua kwa makusudi mwandishi wa habari wa kike na Mkristo wa televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar Shireen Abu Akleh kwa mujibu mpango maalumu uliokuwe umeratibiwa tangu hapo awali.
Habari ID: 3475254    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Msafara wa mazishi ya mwandishi habari Mpalestina Shireen Abu Akleh , ulisahmbuliwa na askari wa utawala wa Kizayui wa Israel Ijumaa katika mji wa Quds (Jerusalem) Mashariki unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3475249    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14

TEHRAN (IQNA)- Askari wa jeshi katili lla utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua kigaidi mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.
Habari ID: 3475234    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11