iqna

IQNA

waliowachache
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amelaani uenezaji wa chuki dhidi ya Uislamu unaofanywa na baadhi ya nchi za Magharibi na vile vile ubaguzi wa aina yoyote dhidi ya madhehebu ya dini za waliowachache , hususan Waislamu.
Habari ID: 3475828    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23

Waliowachache
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Pakistan wa Masuala ya Kidini na Upatanifu wa Dini Mbalimbali amesisitiza kwamba Qur’ani Tukufu iliteremshwa kwa ajili ya wanadamu wote, si kwa ajili ya Waislamu pekee.
Habari ID: 3475613    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu yanatuamrisha kuamiliana vyema, kwa insafu na uadilifu na wafuasi wa dini nyinginezo za mbinguni.
Habari ID: 2862975    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/17