iqna

IQNA

madina
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu raia na wakaazi wa ufalme huo kuswali swala za jamaa za kila siku katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ).
Habari ID: 3473270    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18

TEHRAN (IQNA) – Mvua kubwa na za ghafla zimeruhusiwa katika msikiti wa Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) katika mji wa Madina, Saudi Arabia, Jumapili jioni.
Habari ID: 3473030    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03

TEHRAN (IQNA) - Kumezinduliwa Kampeni ya Kimataifa ya kutaka misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina isimamiwe kimataifa na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3472817    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/30

TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) mjini Madina, itaendelewa kufungwa kwa umma kwa ajili ya swala za jamaa hadi mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472689    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21

Hofu ya corona
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imetangaza sheria kali ya kutotoka nje katika miji mitakatifu ya Makka na Madina ikiwa ni sehemu za mkakati wa utawala huo wa kifalme kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472627    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/02

TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidi ya milioni mbili walifurika katika Msikiti Mkuu wa Makka (al-Masjid al-Haram) na Msikiti wa Mtume SAW (al-Masjid an-Nabawi) mjini Madina Jumatatu.
Habari ID: 3471556    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/13

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Saudi Arabia imewapiga marufuku mahujaji na wafanyaziara kupiga picha au kuchukua video kwa kutumia chombo chochote katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Kiislamu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3471279    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25

TEHRAN (IQNA)-Mkurugenzi wa Jumba la Makumbusho la Qur’ani Tukufu katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia limetembelewa na wageni milioni mbili katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3471118    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/11

TEHRAN (IQNA)-Nakala kubwa ya Qu'rani Tukufu yenye uzito wa kilo 154 imeonyeshwa katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3471079    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/22

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kigaidi zilizojiri Jumatatu Saudi Arabia likiwemo ikiwemo karibu na Msikiti wa Mtume SAW katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3470434    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05

Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Maulamaa wa Iraq
Makhatibu wa Sala ya Ijumaa nchini Iraq wametoa wito wa kukarabatiwa makaburi ya Janatul Baqi ambayo yalibomolewa na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3332765    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Tarehe 25 Shawwal miaka 1287 iliyopita Imam Jafar Sadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi. Alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul na kipindi chake cha Uimamu kilianza mwaka 114 Hijria.
Habari ID: 1441613    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21

Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426540    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06