iqna

IQNA

vijana
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa kizazi cha vijana , wakiwa ndio wamiliki na viongozi wa kesho wa nchi, kinapaswa kuwa kitovu cha mazingatio ya ubunifu wa matangazo yanayotegemea mbinu na zana za kisasa.
Habari ID: 3477273    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477180    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/22

TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa haki za binadamu wameonya kuwa, utawala wa Aal-Saud unapanga kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu wa madhehebu ya Shia mkoani Qatif mashariki mwa Saudi Arabia.
Habari ID: 3474025    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/20

TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza nafasi ya kipekee ya tabaka la vijana katika masuala muhimu nchi na kueleza kuwa, uwepo wa kizazi hicho katika masuala hasasi ya nchi ni katika mafanikio na fakhari ya Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3473668    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/20

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana .
Habari ID: 3473647    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/13

Shabab Al-Muqawama Global Front Holds Congress
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 7 la Kimataifa la Vijana wa Mapambano (Shabab Al Muqawama) limefanyika Jumatatu nchini Iran kujadili njia za kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473173    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15

IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeutangaza mji wa Shiraz kusini mwa Iran kuwa mji mkuu wa vijana katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470769    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31

Mashindano ya Qur’ani ya msimu wa joto yameanza mjini Bidiya nchini Oman.
Habari ID: 3470530    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18

Msomi wa Canada
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Lethbridge nchini Canada amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imejaa ukweli wa kimaanawi ambao unahusu watu wa rika na zama zote.
Habari ID: 3468272    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi imeakisiwa kwa wingi katika vyombo vya habari vya kigeni.
Habari ID: 3458797    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/30

Kiongozi Muadhamu kwa vijana Wamagharibi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewaandikia barua vijana wa nchi za Magharibi akisema kuwa, matukio machungu ya kigaidi yaliyotokea nchini Ufaransa yameandaa uwanja wa kutafakari kwa pamoja kuhusu njia ya utatuzi wa migogoro ya sasa.
Habari ID: 3458401    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa mustakbali wa Iran unang'ara na unaambatana na maendeleo, uwezo na ushawishi wa kila siku katika kanda hii na dunia nzima.
Habari ID: 3385744    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/15

Muungano wa Vijana wa Sudan wamezindua 'Mpango wa Rehema' chini ya anwani ya: "Ramadhani Inatuleta Pamoja".
Habari ID: 3318508    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25

Shirika la Mawasiliano na Utamaduni wa Kiislamu Iran (ICRO) limetayarisha tarjama ya Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lugha 21 duniani.
Habari ID: 2910931    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28

Tovuti maalumu imeundwa kwa ajili ya kusambaza barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2880257    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/22

Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 2870538    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19

Kuuliwa vijana watatu wanachuo Waislamu katika jimbo la Carolina Kaskazini nchini Marekani ni kitendo kinachopaswa kulaaniwa na ni kiashiria kingine cha hatari kubwa ya kuenea kwa vitendo vya ukatili na uchupaji mipaka.
Habari ID: 2858484    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/16

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki moon ambapo mbali na kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu ameambatanisha barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2822425    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/08

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini akisema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Ufaransa na matukio yanayoshabihiana na hilo katika baadhi ya nchi za Magharibi yamemlazimisha azungumze nao moja kwa moja.
Habari ID: 2747324    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22