iqna

IQNA

houthi
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, watu wanaoongoza jinai ya kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na kulikariri hilo ni lobi za Wazayuni.
Habari ID: 3476789    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, vita dhidi ya Yemen vinaendeshwa na adui katika medani kadhaa na kuwa miongoni mwa silaha zinazotumiwa na adui dhidi ya Yemen ni vikwazo, masuala ya kiuchumi, na kuzusha mifarakano baina ya wananchi wa Yemen.
Habari ID: 3474941    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18

TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya wananchi wa Yemen Jumanne wamefanya maandamano makubwa katika mkoa wa Saada wa kaskazini wa nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba, siku ya mapinduzi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474326    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni nyenzo zinazotumiwa na Marekani.
Habari ID: 3474320    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
Habari ID: 3474252    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel ni wajibu na jukumu la kidini la Umma wote wa Kiislamu.
Habari ID: 3473884    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/07

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah Sayyid Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Waislamu duniani kote wanapaswa kurejea katika mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473800    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA)- Muhammad Ali al-Houthi, mjumbe wa Baraza la Kisisa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, Marekani ndio chimbuko la ugaidi na kwamba, serikali ya sasa ya Donald Trump imekuwa ikitekeleza siasa na sera za kueneza ugaidi dunianii.
Habari ID: 3473546    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11

Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashirika ya kijasusi ya nchi za Magharibi ndiyo ambayo yaliibua makundi ya magaidi wakufirishaji duniani.
Habari ID: 3473278    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/20

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha hujuma ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, amani haiwezi kurejeshwa nchini humo kupitia nguvu za kijeshi.
Habari ID: 3472193    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/29

Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21

Kiongozi wa Ansarullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki.
Habari ID: 3393529    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Kiongozi wa Ansarullah Yemen
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi Arabia.
Habari ID: 3385390    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Kiongozi wa Ansarullah
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameashiria hatua ya Saudi Arabia ya kuwazuia mahujaji kutoka Yemen kushiriki katika ibada ya Hija na kusema, ‘Makka si milki ya Aal Saudi iwazuie mahujaji wa Yemen.’
Habari ID: 3365868    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21

Abdul-Malik al-Houthi
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen Abdul-Malik al-Houthi amesema adui wa wananchi wa Yemen mwishowe atashindwa tu. Aidha ameongeza kuwa utawala haramu wa Israel unafaidika na hujuma ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3338217    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/03

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah
Abdulmalik Houthi Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudia imegueka na kuwa chombo cha Israel katika hujuma dhidi ya Wayemen.
Habari ID: 3326612    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11

Kiongozi wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa nchi hiyo na kusema taifa la Yemen litaendelea kulinda haki zake dhidi ya wavamizi na kamwe halisalimu amri.
Habari ID: 3180156    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20

Kiongozi wa Harakati ya al-Huthi nchini Yemen, ametaka kulindwa umoja kati ya makundi ya kisiasa na kuwepo makubaliano na mshikamano wa kitaifa katika kukabiliana na njama za kigeni kwa ajili ya kutoa pigo kwa umoja nchini Yemen.
Habari ID: 2672152    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05