iqna

IQNA

venezuela
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais Maduro wa Venezuela
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, mapambano au muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
Habari ID: 3475366    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12

TEHRAN (IQNA)- Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3474738    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, dhana iliyotawala kwamba Marekani ni nchi isiyoweza kushindwa, ilikuwa ni kosa kubwa na kwamba makosa ya kujirudia ya Marekani katika eneo yameifanya ishidwe.
Habari ID: 3470629    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23