iqna

IQNA

Abdollahian
Mhimili wa Muqawama
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Ijumaa alionana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa.
Habari ID: 3476931    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/29

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir- Abdollahian amesema undumakuwili na kimya cha baadhi ya serikali na duru za kimataifa ndio chanzo cha kupata ubavu Israel katika kuzidisha uvamizi dhidi ya Wapalestina na ukiukaji wa haki zao.
Habari ID: 3475148    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ambapo wamejadili masuala ya kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3475130    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/15

Hossein Amir Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Iran iko tayari kwa ajili ya duru ya tano ya mazungumzo na Riyadh.
Habari ID: 3475080    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran leo Jumapili na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali aliyeko ziarani hapa nchini.
Habari ID: 3474927    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474889    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: amani endelevu na ya kudumu itaweza kupatikana tu nchini Afghanistan ikiwa itaundwa serikali shirikishi na itakayojumuisha pande zote.
Habari ID: 3474694    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusu matukio ya karibuni kabisa ya kisiasa ya nchi hiyo na eneo.
Habari ID: 3474395    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08