iqna

IQNA

taliban
Ugaidi
Watu wasiopungua 11 waliuawa na makumi ya wengine walijeruhiwa baada ya kutokea shambulio la kigaidi katika msikiti mmoja mkoani Badakhshan, kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3477122    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Hossein Amir-Abdollahian
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.
Habari ID: 3477050    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26

Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Hali ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imebainisha masikitiko yake kuhusu uamuzi wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan kuwapiga marufuku wanawake kuendelea na elimu katika vyuo vikuu nchini humo.
Habari ID: 3476291    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

Hali ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri ameutaka utawala wa Taliban kuondoa marufuku ya elimu ya juu kwa wanawake nchini Afghanistan.
Habari ID: 3476290    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

Ugaidi wa Daesh
TEHRAN (IQNA) - Katika ripoti yake, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch lilisema kuwa kundi tanzu la Daesh (ISIS au ISIL) nchini Afghanistan linalenga makundi ya Waislamu waliowachache Afghanistan kama vile Mashia wa kabila la Hazara.
Habari ID: 3475749    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08

Ugaidi wa wakufurushaji
TEHRAN (IQNA)- Kundi la kigaidi la Daesh au kwa jina jingine ISIS, limekiri kuhusika na mlipuko uliotokea jana Ijumaa huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, ambao ulipelekea watu 8 kuuawa shahidi na wengine 18 kujeruhiwa.
Habari ID: 3475585    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/06

Hali nchini Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa Afghanistan wanasema idadi ya watu waliouwawa kufuatia mashambulizi manne ya mabomu yaliyofanyika kwenye basi dogo na msikitini nchini humo imefikia watu 16.
Habari ID: 3475298    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umelaani mlipuko wa kigaidi uliotokea karibuni katika msikiti wa Waislamu wa Kishia huko Mazar-Sharif katika mkoa wa Balkh, Afghanistan.
Habari ID: 3475155    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22

TEHRAN (IQNA)- Jumamosi usiku magaidi walishambulia mtaa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Herat nchini Afghanistan ambapo watu wasiopungua saba waliuawa na wengine 10 walojeruhiwa.
Habari ID: 3474842    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametoa wito kwa nchi za Waislamu ziitambue rasmi serikali hiyo.
Habari ID: 3474827    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA) Jumapilia 19 Disemba, mji mkuu wa Pakistan, Islamabad utakuwa mwenyeji wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ambapo jenda kuu na pekee ya mkutano huo ni kuchunguza matukio ya Afghanistan hususan hali ya kibinadamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474692    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Madhehebu ya Shia katika jimbo la Herat nchini Afghanistan wameitaka serikali ya Taliban kurejesha kamati za usalama ili kulinda misikiti ya Mashia ambayo inakabilia na tishio la kushambuliwa na magaidi wakufurushaji wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474542    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11

TEHRAN (IQNA)- Magaidi 65 wa kundi la ISIS au Daesh wamejisalimisha katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Pakistan.
Habari ID: 3474500    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza habari ya kuuvunja mtandao wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
Habari ID: 3474383    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

TEHRAN (IQNA)- Raia wasiopungua watano wamepoteza maisha baada ya bomu lililotegwa mlangoni mwa msikiti wa Eid Gah mjini Kabul, kuripuka na kuwajeruhi watu wengine kadhaa waliokuwa wanahudhuria ibada ya kumbukumbu ya mama wa msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid.
Habari ID: 3474380    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04

UNICEF
TEHRAN (IQNA)- Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
Habari ID: 3474314    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19

TEHRAN (IQNA)- Mwanzilishi mwenza wa kundi Taliban na sasa naibu waziri mkuu wa Afghanistan ametoa taarifa ya sauti Jumatatu akisema alikuwa hai na mzima baada ya habari za kifo chake kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3474293    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13

Matukio ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 97 ya wananchi wa Afghanistan wamo katika hatari ya kuingia chini ya mstari wa umasikini.
Habari ID: 3474280    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/10

TEHRAN (IQNA)- Kundi la Taliban limetangaza kuunda serikali ya mpito ya Afghanistan huku kukiwa na maandamano dhidi ya kundi hilo mjini Kabul.
Habari ID: 3474271    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08