iqna

IQNA

malawi
Waungaji mkono Wapalestina wanaodhulumiwa
LILONGWE (IQNA) - Kundi la Waislamu, wakiwemo wanafunzi chuo cha Kiislamu, walifanya maandamano nchini Malawi mauaji ya kimbari yanayotekelezwa wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477831    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02

TEHRAN (IQNA)- Msikiti mpya uliopewa jina la Taqwa umefunguliwa katika mji wa kibiashara wa Malawi, Blantyre.
Habari ID: 3475055    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambazwa nakala 5,000 za Qur'ani Tukufu iliyotarujumiwa kwa lugha ya Kichewa nchini Malawi.
Habari ID: 3471759    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/03

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu nchini Malawi sasa wanaweza kupigwa picha za leseni ya kuendesha gari wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471002    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/31

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Malawi wameanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuzinduliwa televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3471000    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yana washiriki kutoka Tanzania, Malawi na Burundi wamewasili Tehran kuwakilisha nchi zao katika mashindano hayo.
Habari ID: 3470942    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/20

IQNA: Waislamu nchini Malawi wamepongeza tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kiyao na kisema itawawezesha kufahami vyema zaidi mafundisho ya kitabu hicho kitukufu.
Habari ID: 3470873    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/01

IQNA-Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao imezinduliwa ncchini Malawi siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3470771    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/01

Waislamu nchini Malawi wanataka kuwepo sheria za kuwalinda wanawake Waislamu wanaovaa vazi la stara la Hijabu ili wasibaguliwe wala kubughudhiwa katika maeneo ya umma na kazini.
Habari ID: 3377130    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/01

Katika jitihada za kupunguza ongezeko la ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu huko Malawi, jamii ya Waislamu nchini humo imeanzisha jitihada za kuwezesha vyombo vya habari kupata maelezo sahihi kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3359965    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/07

Kutokana na ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu huko Malawi, Waislamu nchini humo wameanzisha kampeni ya kuwashawishi wafuasi wa dini nyinginezo kuzingatia msingi wa ‘kuishi pamoja kwa amani’ ili kuzuia uwezekano wa kuibuka malumbano ya kidini katika nchi hiyo ya kusini wa Afrika.
Habari ID: 2621819    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/18