iqna

IQNA

mwislamu
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472762    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaki soka wa timu ya Manchester United ya Uingereza ni Mwislamu anayefungamana na mafundisho ya dini amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi.
Habari ID: 3471046    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13

TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23

IQNA: Rais wa Romania amepinga uteuzi wa Mwislamu kuwa waziri mkuu katika nchi hiyo ya Ulaya mashariki.
Habari ID: 3470764    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/28

IQNA- Mwanamke Mwislamu amekataa kumpa mkono Rais wa Ujerumani lakini Waziri wa Ulinzi wa Saudia amempa mkono mwanamke ambaye ni waziri wa ulinzi wa Ujerumani.
Habari ID: 3470751    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/20

IQNA- Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali kuchaguliwa nchini Marekani amemdhalilisha na dereva wa teksi ambaye amemtusi kwa maneno ya chuki dhidi ya Uislamu mjini Washington.
Habari ID: 3470724    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08

IQNA-Mwandishi habari wa kike huko Toronto amekuwa wa kwanza kusoma habari akiwa amevaa vazi la Kiislamu la Hijabu.
Habari ID: 3470699    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/26

IQNA- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limebainisha masikitiko yake baada ya bondia wa kike Mwislamu kupigwa marufuku Marekani kwa ajili ya vazi lake la Kiislamu la Hijabu.
Habari ID: 3470693    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/23

Mwanamke Mwislamu amehujumiwa na kuvuliwa Hijabu katika hujuma ya kibaguzi iliyojiri mjini London.
Habari ID: 3470607    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/10

Afisa Mwislamu wa kike katika polisi ya Marekani mjini Dearborn kwenye jimbo la Michigan amekuwa afisa wa kwanza eneo hilo kuhudumu akiwa amevaa sare ya Hijabu .
Habari ID: 3470537    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/27

Mwanamke Mwislamu Mmarekani, Ilhan Omar ameweka historia kwa kuchaguliwa kugombea kiti katika Bunge la Wilaya ya 60B jimbo la Minnesota nchini Marekani.
Habari ID: 3470525    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/16

Mwanamke Mwislamu nchini Marekani amefutwa kazi baada kutokana na kuvaa vazi la Hijabu akiwa kazini.
Habari ID: 3470501    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07

Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 25 amedhalilishwa baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la Hijabu.
Habari ID: 3470475    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Mwaka moja uliopita, Indira Kaljo, mwanamke Mwislamu mcheza basketboli, aliamua kuvaa vazi la staha la Kiislamu, Hijabu.
Habari ID: 3470469    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/23

Sadiq Khan wa chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa London na hivyo kuwa Meya wa kwanza Mwislamu kuuongoza mji huo mkuu.
Habari ID: 3470297    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemtunuku nishani ya juu Salah Farah marehemu mwalimu Mwislamu aliyepigwa risasi akiwakinga Wakristo wasiuawe na magaidi wa Al Shabab.
Habari ID: 3470225    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02

Bintiye Sheikh Zakzaky
Bi. Nusaiba Zakzaky bintiye Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ametoa taarifa akibainisha hali ya Waislamu nchini Nigeria na kusema, serikali ya nchi hiyo inawakandamiza Waislamu wa madhehebu zote.
Habari ID: 3468456    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23

Mwanamke Marekani Muislamu mwenye asili ya Afrika ameapishwa kwa kutumia Qurani kuwa jaji, katika jimbo la Brooklyn.
Habari ID: 3463116    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14

Waislamu nchini Malawi wanataka kuwepo sheria za kuwalinda wanawake Waislamu wanaovaa vazi la stara la Hijabu ili wasibaguliwe wala kubughudhiwa katika maeneo ya umma na kazini.
Habari ID: 3377130    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/01